Nini kinachangia hasa wanachuo kujiua hapa nchini

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Mwaka jana nilipata habari kwa rafiki aliyekua UDOM Kua jamaa kajirusha gorofani akajiua,Chuo cha Dar es Salaam matukio ya watu kujiua ni kila mwaka,na huko st Augustine sina tarifa na kwingine kama Mzumbe,ila sababu hasa nini na katika jamii watu hujiua,.
 
watakua wa songea hao wanafuata nyayo zza mkuu wao.
 
hapo kuna kingine zaidi ya madem??
 
Ni kiasi cha kulifanyia research na kuja na majibu sahihi tofauti na hapo utapata majibu mengi humu tena mengine ya ajabu kweli!
 
Si rahisi kujua sababu halisi ila hali ngumu ya maisha imesababisha watu wengi wawe na msongo wa mawazo (stress).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…