Sina utaalamu wa mafuta ndugu,ningekusaidia.Thanks naunaweza nishauri nitumie mafuta gani maana ngozi yangu niyamafuta ili nirudi Kama awali mkuu
Iwe some or severe dehydration sio uso tu unaopata athari,ni mwili mzima na haisababishwi na mafuta.Hiyo ni ishara ya kuwa mwili wako haupati maji ya kutosha kitaalam wanaita some dehydration......Na hii hali huwapata zaidi watu wanaoishi sehemu zenye baridi kali au l wastan wakihofia kunywa maji kwa nia ya kutokojoa mara kwa mara.......Cha kufanya hakikisha unakunywa maji ya kutosha na hiyo hali itaisha by Dr.RASO
Ila ukijitathmin vp unakunywa maji y kutoshaIwe some or severe dehydration sio uso tu unaopata athari,ni mwili mzima na haisababishwi na mafuta.
Philips X2560
Nashukuru Sana'a dokta blessed hornHiyo ni ishara ya kuwa mwili wako haupati maji ya kutosha kitaalam wanaita some dehydration......Na hii hali huwapata zaidi watu wanaoishi sehemu zenye baridi kali au l wastan wakihofia kunywa maji kwa nia ya kutokojoa mara kwa mara.......Cha kufanya hakikisha unakunywa maji ya kutosha na hiyo hali itaisha by Dr.RASO