Hapo kwenye nyekundu nimekusoma vema!!hizo dharau zitakuja iwapo ulimpata huyo mdada kwa kutumia pesa na kumwendesha kwa pesa, ila kama pesa haikuwa kishawishi wakati wa kutongozana kwenu zarau hazitakuwepo.
wadada wengi siku hizi wanajali mshiko kuliko hisia za mapenzi
mnatumia hela kutupata,nasi tunapenda hela zenu hadi tunaingia ndoa.....so siku hela hazipo ndo basi tena.....the means justifies the end!!!
na mara nyingine mkiwa na hela mnakuwa hamna adabu nyie wanaume so zikiisha lazima muone rangi kidogo....l.o.l
hamna mwanamke anakuwa katili bila sababu,kuna sababu tu za huo ukatili na mara nyingi huyo mwanaume anahusika.
i wish ningekuwa fisadi.

hizo dharau zitakuja iwapo ulimpata huyo mdada kwa kutumia pesa na kumwendesha kwa pesa, ila kama pesa haikuwa kishawishi wakati wa kutongozana kwenu zarau hazitakuwepo.
wadada wengi siku hizi wanajali mshiko kuliko hisia za mapenzi
Mimi sielewi labda ni utandawazi inakuwaje mwanamke akiwa na Mpenzi wake kwa shida na raha zote!!Lakini ikifika kwamba mume kipato kimepungua mke uanza mbwembwe na kuanza kumdharau nakuona simali itu??Je nyie shida yenu nikuona pesa haipungui??Nijuzeni!!Au mapenzi ni Pesa??
Hivi hapa bongo utamtaka mwanamke kwa kukenua???Lazima uzame naye ajue nilipo ninamwanaume kwani mimi nilishawasikia wanawake wakisema uwezi kutongoza mwanamke kwa maneno tu ujamlisha hata nyama ya foili kwa kisamo!Unataka kuleta mbwembwe utaambulia kweli??Tuwe wakweli jihisi niwewe unatongozwa!Jamaa kapukutika na wewe umemsoma hana pesa hata ya texi ni kweupe unakubali au unakula kona nyie wanawake msituzuge kwa thread za JF nyie bila chapaa mnakubali??kwanza guest hamtaki mnataka hotel utadhani mkilala hotel inageuka inakuwa yenu! Acheni Pesa ndiyo kila kitu ikiisha vumilia itarudi tena!Kwan maji ufata mahali yalipokwisha pita!hizo dharau zitakuja iwapo ulimpata huyo mdada kwa kutumia pesa na kumwendesha kwa pesa, ila kama pesa haikuwa kishawishi wakati wa kutongozana kwenu zarau hazitakuwepo.
wadada wengi siku hizi wanajali mshiko kuliko hisia za mapenzi
Mimi nakwambia kibarua kimekata unaniuliza sasa mimi nitaishije ebo!!Sema mume tufanyeje maana kazi ndo hakuna tufanyeje?? huyo ndiye mwanamke wabusara!!, lakini tuwapenzi wakati ninakisu unaniona kilakitu ndiyo mimi, kisu kikikata unauliza pesa ya saloon nikisema sina unasema sasa mimi nitaishije??Nisipokupa unanuna na baada ya hapo nikikupigia simu aupokei nakama ukipokea unauliza UNASEMAJE??KWA UKALI!! IT MEANS HUTAKI USUMBUFU!!!Kweli??mnatumia hela kutupata,nasi tunapenda hela zenu hadi tunaingia ndoa.....so siku hela hazipo ndo basi tena.....the means justifies the end!!!
na mara nyingine mkiwa na hela mnakuwa hamna adabu nyie wanaume so zikiisha lazima muone rangi kidogo....l.o.l
hamna mwanamke anakuwa katili bila sababu,kuna sababu tu za huo ukatili na mara nyingi huyo mwanaume anahusika.
Siyo wake tu hata wapenzi ukiona leo sina siyo mwisho wa maisha vumilia tutapata kesho na maisha yataendelea!!Wazoesheni wake zenu shida na raha.
Mimi sielewi labda ni utandawazi inakuwaje mwanamke akiwa na Mpenzi wake kwa shida na raha zote!!Lakini ikifika kwamba mume kipato kimepungua mke uanza mbwembwe na kuanza kumdharau nakuona simali itu??Je nyie shida yenu nikuona pesa haipungui??Nijuzeni!!Au mapenzi ni Pesa??
Mimi nakwambia kibarua kimekata unaniuliza sasa mimi nitaishije ebo!!Sema mume tufanyeje maana kazi ndo hakuna tufanyeje?? huyo ndiye mwanamke wabusara!!, lakini tuwapenzi wakati ninakisu unaniona kilakitu ndiyo mimi, kisu kikikata unauliza pesa ya saloon nikisema sina unasema sasa mimi nitaishije??Nisipokupa unanuna na baada ya hapo nikikupigia simu aupokei nakama ukipokea unauliza UNASEMAJE??KWA UKALI!! IT MEANS HUTAKI USUMBUFU!!!Kweli??