Nini kinachoizuia Tanzania kuruhusu kufunguliwa ubalozi wa Israel na Ukraine?

Nini kinachoizuia Tanzania kuruhusu kufunguliwa ubalozi wa Israel na Ukraine?

mipango99

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
623
Reaction score
903
Naishauri serekali ya Tanzania ifungue balozi za Israeli na Ukraine nchini tena kuwe naushirikiano haswa. Wa Israel, kutokana na Israel kuwa na teknolojia ya Hali ya juu, tupeleke na wanafunzi wakajifunze, huko tuwe na ushirikiano wa kijeshi tupeleke makomando wetu wakapate mafunzo, Israel na Ukraine tuachane na kuwa peleka quba. Nibora tu funge balozi ya Palestine na Iran hazina manufaa kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom