Nini kinaendelea Dodoma.?

Eswa

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
231
Reaction score
617
Wadau mwenye upadates za bungeni atujulishe coz naona TBC wameweka muziki.!
 
Umekurupuka tu usingizini na kuanzisha uzi kwanini usingepitia walichoandika wenzio kwanza?
 
Wajumbe wotee wapo kwenye orientation ya kanuni na taratibu mbali mbali zinazohusu kazi zinazowakabili mbele Yao.....wataanza kuuza sura J3 ijayo
 
Wajumbe wotee wapo kwenye orientation ya kanuni na taratibu mbali mbali zinazohusu kazi zinazowakabili mbele Yao.....wataanza kuuza sura J3 ijayo

Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…