Dah,Napenda kuamini ni kukomaa kwa watu wa jk sasa
Napenda kuamini EL alikuwa chanzo cha kuvuja info
Napenda kuamini wajivuni wanamtandao wamekwama na wanahofu sana sasa
Napenda kuamini JF imeanza kushindwa kuingia sirini kama kawaida yake.
Najiuliza kumetokea nini hata JF kujikuta haina chochote cha kuripoti kabla ya muungwana hajashughulika na vinasa sauti vya Tz?
Napenda kuamini ni kukomaa kwa watu wa jk sasa
Napenda kuamini EL alikuwa chanzo cha kuvuja info
Napenda kuamini wajivuni wanamtandao wamekwama na wanahofu sana sasa
Napenda kuamini JF imeanza kushindwa kuingia sirini kama kawaida yake.
Tusingependa kusubiria radio na Runinga zetu na leo hii mvua hii basi taabu kwelikweli.
Wakuu tupeni baraza mapema ili kuepuka sifa ya makasisi wetu siku hizi.
sawa kumbe umekuja na sulubu mpya wa kudai ujuilishwe. nimekupata mkuu lengo si kuonyesha unayoyaamini ila kuwachonga ukali wakuu, nnaaamini wamekufahamu
kuna jamaa alikuwa akimuomba mungu amuondoshee shida yake na kila akiomba anaona shida yake haikidhiwi akaamua kusema ww mungu gani ww kama kweli ww mungu niue basi saa hii. si muda pale alipo lilianguka tofali kubwa kutoka juu na kuanguka karibu yake.
jamaa alikurupuka mbio na kusema hee mungu hutaniwi nilikuwa natania tu
Mtu wa Pwani ndg yangu hapa sijakuelewa ila ni vema nami nikaendelea kueleleza:
Jana makanisani hoja hii ya Mwakyembe vs Lowassa na Pinda na JK umekuwa wimbo usio na vina wala mizani.
Jana makanisani kwa sisi wengine tulikuwa na mahubiri ya makasisi wetu. Wamewageuka hao jamaa as if sio wao waliokuwa wanawaita ktk harambee zao za kuku ktk kujenga makanisa na blabla, ninajiuliza hawa makasisi hawakujua kuwa watoa sadaka hawa ni mafarisayo na watoza ushuru,mbona wametwaa saana mapokeo ya kifisadi.
Nway,tupatieni latest tu juu ya nani yumo na nani katemwa.
Kazi kwelikweli.
Napenda kuamini JF imeanza kushindwa kuingia sirini kama kawaida yake.
rais atatangaza baraza la mawaziri na nafasi kadhaa za wakuu wa mkoa