Nini kinaendelea DRC? misheni za UN na SAMIDRC ziko wapi?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Majuzi kati kulikuwa na habari za kurudishwa kwa majeruhi walio DRC kwa ajili ya misheni ya SAMIDRC. Baada ya hapo ikawa kimya kimetamalaki.

Zaidi tukasikia M23 wameiteka Goma na baada ya apo wameingia kuiteka Bukavu. Kabla hatujakaa sawa tunaona M23 wakijitapa wanataka wafike Kinshasa.

Sasa ina maana hizi misheni za UN na SAMIDRC ziko wapi?
 
Vita ya Congo, ni proxy war, kuna wa babe wapo nyuma ya M23, Rwanda, anatumika tu, Hana uchumi wa, kuendesha Vita, hata, kama, anaiba madini, Hana viwanda vya kuchakata hayo madini, lazima ayauze US, au, UK,
Waliopo nyuma ya hiyo Vita ni US, UK, Belgium, UK, ufaransa, na ndio wafadhili wakubwa wa UN na mission zote za, UN, wao, wanataka raia walindwe, Ila wizi uendelee, congo inaelekea kule ilipoenda Sudan, ikamegwa kuunda South Sudan, kisa US anataka mafuta ya kusini, sasa hv, ni madini ya Congo, ywnahitajika sana kwenye tekinolojia za, EV(electrical vehicles), AI, electronic chips, nk, Tchisekedi, ama akubali nchi imegwe, kuunda nchi nyingine, au achapwe, achapike,
 
Waliopo nyuma ya hiyo Vita ni US, UK, Belgium, UK, ufaransa, na ndio wafadhili wakubwa wa UN na mission zote za, UN, wao, wanataka raia walindwe, Ila wizi uendelee,..
Hawa wote wameweka vikwazo kwa maafisa wa Rwanda na kusitisha baadhi ya misaada huku wakishinikiza Rwanda kuondoa askari wake waliopo Drc, kivipi tena wapo upande wa Rwanda?
 
Tayari Tshisekedi ameingia makubaliano na USA, Soma hapa
 
Tulia amawekwa kwenye 18 kile kikao alingia bila kujua madhara ya kusema vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…