ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Haya yameisha pangwa yatatokea daima ukitaka kuona taifa linangamia fatilia story zao, kuanzia kina Firauni na wenzake.Aiseee,yaan dunia hii haieleweki
Maji maji war with Kinjekitile Ngwale.Nyie nyamazeni hi ni mipango ya Allah alisha ahidi wa Israel watafanya hayo alafu atawaangamiza time inakaribia.
Kufa kila mtu atakufa tu akifa kwa kuliwa au kufa kwa maradhi au kwa kawaida tu kila mmoja ameandikiwa atakufa vipi.
Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao π
Sawa mhayaMaji maji war with Kinjekitile Ngwale.
DaaβΉοΈHaya yameisha pangwa yatatokea daima ukitaka kuona taifa linangamia fatilia story zao, kuanzia kina Firauni na wenzake.
Mfano mdogo sana nchi za Europe zamani zilikuwa zinamtetea Israel sa zinanza mkimbia, nyie bado hamjiulizi tu.
Huyo USA na yeye karibu itakula kwake.
Kima weweππKuna sehemu umeongelea kuhusu dini!
Dini ni mpango wa binadamu kumtawala binadamu mwenzake kifikra.
Fikra ndio ugunduzi
Fikra ndio maendeleo
Nb.. Ukimuona mwarabu ana wake wawili niite kima.
Something isn't right.Nyie nyamazeni hi ni mipango ya Allah alisha ahidi wa Israel watafanya hayo alafu atawaangamiza time inakaribia.
Kufa kila mtu atakufa tu akifa kwa kuliwa au kufa kwa maradhi au kwa kawaida tu kila mmoja ameandikiwa atakufa vipi.
Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao π
Nyie nyamazeni hi ni mipango ya Allah alisha ahidi wa Israel watafanya hayo alafu atawaangamiza time inakaribia.
Kufa kila mtu atakufa tu akifa kwa kuliwa au kufa kwa maradhi au kwa kawaida tu kila mmoja ameandikiwa atakufa vipi.
Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao
Sa we jiulize kwanini aliweka pepo na motoni [Jahanamu.]Something isn't right.
Huyo Allah awaumbe hao waisrael na wapalestina, halafu apange kuwa wauwane na ndipo yeye aje awaangamize?
Doesn't make sense.
Kwa sasa hamas hawana uwezo wa kupigana Israel angepoa kidogoNimeangalia post zako zote sijaona Uzi wako kuhusu kilichotokea October 7 ,sijaona popote ulipozungumzia wala kulaumu hamas kuhusu ubakaji ,unyang'au na utekaji wa vichanga siku hiyo.
Hivi unajua Kuna mateka zaidi 100 wa Israel bado wapo kwenye mahandaki ya Hamas?
Laumu hao magaidi kutumia raia Kama ngao bladfakin
Kwa hiyo Allah anakunyima pombe Duniani halafu anakuandalia mito ya pombe ahela.Sa we jiulize kwanini aliweka pepo na motoni [Jahanamu.]
Mitihani lazima iwepo wenye kusubiri namitihani ndio wanao ingia pepo.
We unaye ingia pepo kwa kubebewa dhambi zako na Yesu kula life [emoji1]
Nyie nyamazeni hi ni mipango ya Allah alisha ahidi wa Israel watafanya hayo alafu atawaangamiza time inakaribia.
Kufa kila mtu atakufa tu akifa kwa kuliwa au kufa kwa maradhi au kwa kawaida tu kila mmoja ameandikiwa atakufa vipi.
Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao π
ππππππ we jamaa ni chizi mnoNyie nyamazeni hi ni mipango ya Allah alisha ahidi wa Israel watafanya hayo alafu atawaangamiza time inakaribia.
Kufa kila mtu atakufa tu akifa kwa kuliwa au kufa kwa maradhi au kwa kawaida tu kila mmoja ameandikiwa atakufa vipi.
Mimi nawaonea huruma walio baki wameshikilia misalaba, wakiamini wanaenda peponi sababu Yesu kachukua dhambia zao π
Israel karudi anaomba peace chezea kipigo anacho pokea kwa Hamasi.allah keshawakimbia nyie watu, kawadanganya mlianzishe ila mlipoanza kupokea za uso kawakimbia....