Nini Kinaendelea Hapa??

Chapati Tatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2024
Posts
338
Reaction score
740
Nini kilitokea kwenye hii mechi mka wakajikuta kwenye hali hii??? Ni ya mwaka gani???
.
Mwenye maelezo atuletee tafadhali.
Nawasilisha.
 

Attachments

  • 20240530_215249.jpg
    64.1 KB · Views: 4
Ilikua game ya Ihefu na Mtibwa ya kuhitimisha msimu..refa wa kati alikua Jonesia...nyuki walikatiza uwanjani.
 
Inasaidia nini kupunguza urefu? Naomba nijifunze hili bro. Kwanini tunainama tukikimbizwa na nyuki?
Kupunguza eneo la mwili linaloweza kushambuliwa: Nyuki huvutiwa na joto. Kwa kulala chini, unapunguza eneo la mwili wako linaloweza kushambuliwa na kufanya iwe vigumu zaidi kwa nyuki kukufikia.

Kulinda uso wako na shingo: Uso na shingo ni maeneo nyeti zaidi ya mwili wako kwa kuumwa na nyuki. Kwa kulala chini, unalinda maeneo haya kwa kuyafunika kwa mikono yako au nguo.

Kupunguza uwezekano wa kuuma ndani ya pua au mdomo wako, na kusababisha uvimbe na maumivu makali. Kwa kulala chini inakua bora zaidi maana unapunguza hizo risk
 
Nashukuru kwa elimu hii bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…