The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Upande wa pili , kuna mkono wa rais wa zamani , lazima uwepo mtifuano wa nguvuMalawi na Zambia zimejijengea utamaduni wa uwajibikaji wa kufanya uchaguzi wa haki, wazi, na unaokidhi viwango tofauti na Bongolalaland ambayo hufanya uchafuzi na kuuita uchaguzi.
Baada ya kura kupigwa, ni kwanini hawatangazi au nao wanaanza kuharibikiwa kama sisi?