mambo mazuri hayahitaji haraka mkuu! tulia...Wakuu yaani hamna msaada?
Wakuu salaamu.
Ningependa kujua ni vitu gani hufanya mradi ufadhiliwe na mashirika ya kimataifa kama UNIDO, DANIDA, UNEP.
Na je, mashirika yanasapoti kampuni binafsi zinazofanya mambo yaliyo kwenye malengo yao?.
Ningependa pia kujua ni kivipi project initiator ananufaika na huwa wanataka nini in return?.
Nitashukuru mkinisaidia na nitafurahi mkiniongezea taarifa zaidi.
Majukwaa kama haya na thread kama hizi mkuu usitegemee page zaidi ya 7 ..Wakuu yaani hamna msaada?
Mkuu naona unachokifanya na mimi ndo nafanya hivyo tujitahidi mada hii ipate wachangiaji wengi.
1. Mimi niko kwenye NGO ambapo niliwashirikisha vijana walikuwa wakisoma chuo; walipokwenda kufanya research nikawaomba wanipe kopi zao ili nione kama naweza kuzifanyia kazi.
2. Kweli walikubali kunipa kwa sharti la kwamba endapo nitapata miradi hiyo wao waweze kupata kazi humo.
3. Nilifanikiwa kwenda kuanzisha mradi wa ujenzi wa shule kwa kuwashawishi wananchi kutoa eneo la ardhi yao na kuchangia vifaa vya ujenzi .. ambapo tulijenga vyumba sita vya madarasa na tayari maboma yako kwenye renta.
Tatizo limekuja sasa ..
Natafuta mashirika ya kufadhili mradi huo ili ukikamilika niweze kuanzisha mwingine sehemu nyingine ambayo ina changamoto kama zilizoonekana hapa ambapo tumeanza. Hawapatikani kabisa ... wanaopatikana wanataka tuanze mradi mpya ambao uko kwenye malengo yao.
Nifanyeje?
Hayo Mashirika ni huwa hayafund Directily bali Indirect kama sio kupitoa Serikali basi ni kupitia NGOs hasa International NGOs.Wakuu salaamu.
Ningependa kujua ni vitu gani hufanya mradi ufadhiliwe na mashirika ya kimataifa kama UNIDO, DANIDA, UNEP.
Na je, mashirika yanasapoti kampuni binafsi zinazofanya mambo yaliyo kwenye malengo yao?.
Ningependa pia kujua ni kivipi project initiator ananufaika na huwa wanataka nini in return?.
Nitashukuru mkinisaidia na nitafurahi mkiniongezea taarifa zaidi.
Hayo Mashirika ni huwa hayafund Directily bali Indirect kama sio kupitoa Serikali basi ni kupitia NGOs hasa International NGOs.
Kufund kampuni binafisi sijui unless iwe ni non profit company.
Pia mashirikaengi na Donnor wengi wa nje hawa trus hizi Local NGOs. wana trust NGOs za kutoka kwao kama Worldvision, CARE, PLANT INTERNATIONAL, OXFARM, AFRICARE, SAVE THE CHILDERN na kadhalika.
Hizo zinapata mno fundi kwa sabanu ziko well trusted.
Mkuu naona unachokifanya na mimi ndo nafanya hivyo tujitahidi mada hii ipate wachangiaji wengi.
1. Mimi niko kwenye NGO ambapo niliwashirikisha vijana walikuwa wakisoma chuo; walipokwenda kufanya research nikawaomba wanipe kopi zao ili nione kama naweza kuzifanyia kazi.
2. Kweli walikubali kunipa kwa sharti la kwamba endapo nitapata miradi hiyo wao waweze kupata kazi humo.
3. Nilifanikiwa kwenda kuanzisha mradi wa ujenzi wa shule kwa kuwashawishi wananchi kutoa eneo la ardhi yao na kuchangia vifaa vya ujenzi .. ambapo tulijenga vyumba sita vya madarasa na tayari maboma yako kwenye renta.
Tatizo limekuja sasa ..
Natafuta mashirika ya kufadhili mradi huo ili ukikamilika niweze kuanzisha mwingine sehemu nyingine ambayo ina changamoto kama zilizoonekana hapa ambapo tumeanza. Hawapatikani kabisa ... wanaopatikana wanataka tuanze mradi mpya ambao uko kwenye malengo yao.
Nifanyeje?
Ahsante kwa ushauri mzuri mkuu!Hayo Mashirika ni huwa hayafund Directily bali Indirect kama sio kupitoa Serikali basi ni kupitia NGOs hasa International NGOs.