its official B
New Member
- Sep 16, 2021
- 2
- 6
Kuna mahala kwakweli tulilogwa vibaya sana maana kwenye hii sekta Kenya wametupita kila mahala sio ngozi tu hata uuzaji wa wanyama hai na Nyama iliyo tayarishwa na kuwa na mbegu bora ktk kuzalisha .Tatizo letu kubwa ni UBORA wangozi kwa maana ya kuiandaa ngozi toka mnyama anapozaliwa hadi anapochunwa ngozi na namna ya kuhifadhi ngozi hiyo
Wasukuma ambao ni wafugaji wakubwa sana na wamasai wanaharibu sana ngozi za mifugo kwa kuweka alama nyingi zinazo haribu ubora wangozi
Uchunaji nao ni shida ngozi inatobolewa tobolewa sana
Na kikubwa kabisa ni namna ya kuitumza ngozi baada ya kuwa tayari imechunwa hadi kuja kuiuza...... hapa ndio kunachangamoto kubwa
Kenya wanajitahidi sana
Tanzania hakuna wazalishaji wengi tunategemea biashara tena za mchogo, kukwepa TRA ,uchawa wa chama ili kulegezewa maisha ,hivyo kila kitu na roho zetu tumezitelekeza kwa mchina hatuzie chochote ,hata akitumia taka ngumu za china kama nywele,kucha,ped wanatutengenezea vitu kama miguu ya meza,kabati, urembo nk.hvyo ili kuiokoa Tz njia sahihi ni kupata dikteta au mtu mwenye upeo mkubwa kama mimi kuishauri serikali kwa ukaribu sana.Je, Wewe unafahamu Nini kuhusu sekta ya NGOZI nchini hapa Tanzania? Na nichangamoto gani zinaifanya ishidwe kukua hapa nchini?
Ukilinganisha na nchi zingine kama Ethiopia n.k?