Nini kinafanya wimbo kuwa no 1 trending

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Wana jf mnisaidie ninini kinafanya nyimbo kuwa no 1 trending
Maana huwa sielewi je ni namna ulivyotazamwa mara nyingi au inakuwaje hapa
 
jinsi unavyokuwa requested katika media tofauti tofauti tofauti.

Media ndio zinakuza wimbo kutoka kwa mashabiki
Asante nimeelewa sasa
Kwa hiyo unataka kuniambia kibakuli watu wameuomba mara nyingi kupitia midia kwa siku 5 ndio maana ulikuwa no 1 trending sio
 
Wana jf mnisaidie ninini kinafanya nyimbo kuwa no 1 trending
Maana huwa sielewi je ni namna ulivyotazamwa mara nyingi au inakuwaje hapa
trending n nn

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
So Kibakuli is no more leading??

Hate me at your own risk
 
Video inayotazamwa sana ndani ya siku moja katika nchi husika.

Kwa hiyo kama jana video A ilitazamwa mara 1000 na video B mara 900
VIDEO A itakuwa 1 na B 2
Leo video A mara 1005 na video B mara 1010
Basi video B inakuwa 1
Na video A itakuwa ya 2
 
Kwasababu CHADEMA na wana CCM wenye chuki na Magufuli siyo wafuatiliaji wazuri wa Muziki zaidi ya kiki, watampotezea Ali punde tu.
 
Video inayotazamwa sana ndani ya siku moja katika nchi husika.

Kwa hiyo kama jana video A ilitazamwa mara 1000 na video B mara 900
VIDEO A itakuwa 1 na B 2
Leo video A mara 1005 na video B mara 1010
Basi video B inakuwa 1
Na video A itakuwa ya 2
Asante kwa kusahihisha
Nimeelewa
 
Video inayotazamwa sana ndani ya siku moja katika nchi husika.

Kwa hiyo kama jana video A ilitazamwa mara 1000 na video B mara 900
VIDEO A itakuwa 1 na B 2
Leo video A mara 1005 na video B mara 1010
Basi video B inakuwa 1
Na video A itakuwa ya 2
Hapo umeeleweka mkuu! Nilikuwa gizani ahsante kwa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…