Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
Ali punde ndo nani? Tufahamishe mkuuKwasababu CHADEMA na wana CCM wenye chuki na Magufuli siyo wafuatiliaji wazuri wa Muziki zaidi ya kiki, watampotezea Ali punde tu.
ni kampuni ya sharubatitrending n nn
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Wana jf mnisaidie ninini kinafanya nyimbo kuwa no 1 trending
Maana huwa sielewi je ni namna ulivyotazamwa mara nyingi au inakuwaje hapa
Basi dimondi amechukua kijiti leo sijui nae atakikimbiza kwa siku ngapi
D uuh eti bakuli kampa kipigo D!
Kipigo kipi mkuu usher
Kwel ni wcb fan weweHili gepu la views 900,000 sio la kitoto na linazidi kuongezeka views 100,000 kwa siku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ENEKA in 1 month has 3.4 M views ( kituko ni pale Seduce me imebakisha views 600,000 kuipita ENEKA ndani ya wiki 1) [emoji23][emoji23][emoji23]
FIRE in 2 months has 2.8 M views( Seduce me KIBA 2.8 M in 5 days) [emoji23]
I miss you 2 months has 4.3 M views
Aache dharau
Kwel ni wcb fan wewe
Kipigo Gani Mkuu.. Hivi unadhani kama isingekuwa huyo Mwanamke anayenunua Ugomvi wa watu na kutaka Umma wote uwe upande wake bila kujitoa fahamu kama mnavyosema Kibakuli Angesimama hiyo nafasi? Mbona Baada ya Huyo Kibangi kuacha kudownload video alizolazimishwa kutumia na kuforce watu wafuatilie account yake huyo kibakuli angefanikiwa hata kujulikana?Ila kipigo walichopewa Diamond na WCB na Seduce me
Sitegemei kama watarudia walichokifanya weekend hii tena
Kipigo Gani Mkuu.. Hivi unadhani kama isingekuwa huyo Mwanamke anayenunua Ugomvi wa watu na kutaka Umma wote uwe upande wake bila kujitoa fahamu kama mnavyosema Kibakuli Angesimama hiyo nafasi? Mbona Baada ya Huyo Kibangi kuacha kudownload video alizolazimishwa kutumia na kuforce watu wafuatilie account yake huyo kibakuli angefanikiwa hata kujulikana?
Achilia Mbali na hao Clouds FM kujiingiza kisa Kijana hataki kuwa Cheap kwenye Fiesta yao...
Tuwe wa kweli asingekuwa huyo Raia wa Kitanzania asiyekuwa na Makazi Maalum huko aliko Kibakuli wala asingesogea
Pale ENEKA itakapopitwa kwa views ndani ya Siku 7 lazima mnune [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado views 600,000 tu
Mkuu Nguvu aliiyotumia Dada yako Mfanya Fujo huko Ughaibuni kwenye Super Market na Maduka Mbalimbali Huyo Kibakuli sijui Kibamia asingekuwa na hizo views unazozitangaza humu..Let us be realistic .. Tatizo Kibakuli anajiona Yupo Kicimshauri Kuwa Fursa aliyoipata Kibakuli enzi zile asingekuwa huyu wa kugombana na Kijana Mdogo tena Kabila Moja tena wote wanaotoka Mkoa Mmoja. Yaani Huyu Ndiye angekuwa Mshauri na Muongozaji.. Jiulize alipotelea wapi.. Unajua Show alizozifanya Huyo Kibakuli enzi hizo.. Kuna la Maana alilolifanya kupromote Mziki Wa Tz..
Mziki wa Bongo Fleva umekuja kujulikana Baada ya Dimond kufanya Kolabo na Davido....
Ni Kama Ambavyo Ray C anavyojilaumu kwa sasa kwa kushindwa kutumia fursa alizozipata kujijenga na kuishia kuwa Punda .. Leo Ray C yupo wapi na Ziara alizokuwa anazifanya nje ya Nchi kipindi kile.. Je ni sawa na Hali aliyonayo kwa sasa..
Tuwe wa Kweli Kibakuli siyo wa Kupigiwa debe na Huyo Dada yenu asiyejua atazikiwa wapi kwa kuwagombanisha watu...
Naona seduce me imerudi kuwa 1 on trendingVideo inayotazamwa sana ndani ya siku moja katika nchi husika.
Kwa hiyo kama jana video A ilitazamwa mara 1000 na video B mara 900
VIDEO A itakuwa 1 na B 2
Leo video A mara 1005 na video B mara 1010
Basi video B inakuwa 1
Na video A itakuwa ya 2
Nimetumia wingi sio moja ndio maana nimetumia neno nyimbo badala wimbonyimbo - wimbo
Sasa hivi ni milioni 3Hili gepu la views 900,000 sio la kitoto na linazidi kuongezeka views 100,000 kwa siku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ENEKA in 1 month has 3.4 M views ( kituko ni pale Seduce me imebakisha views 600,000 kuipita ENEKA ndani ya wiki 1) [emoji23][emoji23][emoji23]
FIRE in 2 months has 2.8 M views( Seduce me KIBA 2.8 M in 5 days) [emoji23]
I miss you 2 months has 4.3 M views
Aache dharau
Kwani Mange sio shabiki kama mashabiki wengine??Mkuu Nguvu aliiyotumia Dada yako Mfanya Fujo huko Ughaibuni kwenye Super Market na Maduka Mbalimbali Huyo Kibakuli sijui Kibamia asingekuwa na hizo views unazozitangaza humu..Let us be realistic .. Tatizo Kibakuli anajiona Yupo Kicimshauri Kuwa Fursa aliyoipata Kibakuli enzi zile asingekuwa huyu wa kugombana na Kijana Mdogo tena Kabila Moja tena wote wanaotoka Mkoa Mmoja. Yaani Huyu Ndiye angekuwa Mshauri na Muongozaji.. Jiulize alipotelea wapi.. Unajua Show alizozifanya Huyo Kibakuli enzi hizo.. Kuna la Maana alilolifanya kupromote Mziki Wa Tz..
Mziki wa Bongo Fleva umekuja kujulikana Baada ya Dimond kufanya Kolabo na Davido....
Ni Kama Ambavyo Ray C anavyojilaumu kwa sasa kwa kushindwa kutumia fursa alizozipata kujijenga na kuishia kuwa Punda .. Leo Ray C yupo wapi na Ziara alizokuwa anazifanya nje ya Nchi kipindi kile.. Je ni sawa na Hali aliyonayo kwa sasa..
Tuwe wa Kweli Kibakuli siyo wa Kupigiwa debe na Huyo Dada yenu asiyejua atazikiwa wapi kwa kuwagombanisha watu...