Nini kinahitajika kwenye biashara ya Maji ya Chupa kwa Maji ya Kunywa?

xng hua

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
3,302
Reaction score
5,379
Habari...
kwa muda mrefu nmekua na ndoto ya kuzalisha maji ya kunywa yenye kiwango je'
kipi kinahitajika ili kufanikisha ndoto hiyo
offcause sijaona maji na brand yenye kiwango cha kushindana kwe soko kimataifa licha ya fursa kuwa wazi/ kubwa
atlist chupa af8 @1ltr kwa siku!!
nahitaji kujua gharama na material
yatayo itajika kusimamisha factory

kwa yeyote mwenye uelewa juu ya biashara hiyo naomba u share nasi hapa ABC za biashara husika
kwa faida ya wote including me
 
Una mtaji wa angalau bilioni 2?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vema ungetoa ABC kama unafahamu,kimsingi wengi hatujui kwamba kwenye biashara mtaji sio issue kiivyo ukilinganisha na vitu vingine.
Kuandika 2b pasipo walau kufafanua kidogo hakuna maana yoyote.
No tunaogopa kutumia nguvu nyingi na kuchosha akili kwa mtu ambaye hata mtaji wa milioni 5 hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio bosi
Kama kweli una kiasi hicho na upo serious unaweza kuanza na mashine ndogo za wachina.
Sasa nakupa roughly vitu vinavyohitajika baada ya kuandaa godown.
1.Packaging machines (Filling,Blowing, Labelling,Cartoning)
2.Stainless steel tanks(2 or 3)
3.Reverse osmosis/Filtration plant & sand filter
4.Water softener
5.Disinfectant(chlorine/ozonator)
6.Utilities(Tanesco power,generator, compressor).
Hivi ndio vitu basic vya kuanza navyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sante sana nmepata mwanzo mzuri kutoka kwako
 
sante sana nmepata mwanzo mzuri kutoka kwako
Kama uko serious nitafute niwe project manager wako nitasimamia kuanzia kuongea na suppliers, Installation, commissioning Hadi kuanza production halaf nakuachia uendelee na production.
Hii ndio fani yangu mkuu na pia Nina rafiki zangu wachina wanaotengeneza na kuuza hizo machines.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi tutauza lkn?

bado mda kwa asaiv najifunza 123 tuu kuhusu hii kitu
pia nasoma upepo...ni kama hatuijui kesho yetu(taifa)
maana huo ni upande m1 tuu bado kunapande nyingi hadi kusimamisha factory
sivyo ndugu?
 
vipi tutauza lkn?

bado mda kwa asaiv najifunza 123 tuu kuhusu hii kitu
pia nasoma upepo...ni kama hatuijui kesho yetu(taifa)
maana huo ni upande m1 tuu bado kunapande nyingi hadi kusimamisha factory
sivyo ndugu?
No usiwe na wasiwasi kuhusu soko.
Biashara za kuhusu vyakula na vinywaji soko lake huwa halishuki miaka nenda Rudi.
Binadamu ni lazima watakula na kunywa watake wasitake.
Ni tofauti na bidhaa zingine ambazo matumizi yake Hadi uanze kuwaelekeza watumiaji wakuelewe.
Wewe ukiwa mkurugenzi wa kiwanda huitaji kujichosha akili kujifunza kila kitu wakati Kuna watu wanakufanyia kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chapchap nmeona mwanasheria na mtu wa finance siezi kuwakwepa
pesa angu ni ndogo so baadhi ya vitu inabidi nshikilie mwenyewe ila

nmejifunza sana leo shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…