Nini kinahitajika kwenye biashara ya Maji ya Chupa kwa Maji ya Kunywa?

by the way knamtu kanishauri niwacheki SIDO
knamwenye kuwaelewa hawa SIDO?
 
Weka mtaji wako tufanye mahesabu.kuhusu bei za mashine ingia alibaba
 
No tunaogopa kutumia nguvu nyingi na kuchosha akili kwa mtu ambaye hata mtaji wa milioni 5 hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nisingependa kuita dharau,Siku moja niliwahi kupata suluhisho la tatizo langu muhimu sana hapa JF kwa thread ilioanzishwa na mtu mmoja akihitaji kusaidiwa tatizo lililofanana na langu.
Inawezekana mtoa mada akawa hana hata mtaji wa 5m kama unavyosema lakini hemu kuwa na imani kwamba yupo mwingine mwenye mtaji wa 2b anahitaji msaada wako.
 
Tayari nishamsaidia,that was just a joking.
Don't take too serious.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…