Nini kinaikumba chelsea ?

Nini kinaikumba chelsea ?

sir venance

Senior Member
Joined
Oct 26, 2017
Posts
151
Reaction score
223
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, wadau wenzangu wa thé blues inaonekana msimu huu kwetu ni mgumu, kuanzia epl na hâta uefa, ukiachilia mbali kuumizwa na matokeo kama shabiki, vilevile kuumizwa na kuliwa na mhindi, kitu gani hasa kinaikumba hii timu ?
 
Wachezaji wana mgomo baridi, hakika Chelsea yetu ni tepetepe mpaka wachezaji wetu wanatoa pasi ili timu pinzani itufunge
 
poleni hakuna timu inaweza kukaa kileleni milele
mfikirie
Madrid
Leicester
Everton
 
Bila kutolewa kocha hakuna tutakachokivuna.
 
poleni hakuna timu inaweza kukaa kileleni milele
mfikirie
Madrid
Leicester
Everton
Kwa timu kubwa kama Madrid au chelsea hali inayowakumba sahizi cyo ya kawaida huwezi fananisha na everton au leicester City mkuu
 
Kwakweli hata mimi mwenyewe nashindwa kuelewa kabisa hii timu yetu.

#naenda_zimbabwe
 
Unauza matic unanunua bakayoko!!!!!Hizo ni akili au matakataka
 
Ngolo Kante syndrome!
Huyu jamaa sijui ni gagula, asipokuepo tim yake inakumbana na majanga
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, wadau wenzangu wa thé blues inaonekana msimu huu kwetu ni mgumu, kuanzia epl na hâta uefa, ukiachilia mbali kuumizwa na matokeo kama shabiki, vilevile kuumizwa na kuliwa na mhindi, kitu gani hasa kinaikumba hii timu ?
Kwani unataka misimu yote muwe vizuri ligi ya baba yenu?? Lazima na wengine pia wawe vizuri nyie muwe vibaya!!
 
Ni vigumu kufanya vizuri misimu miwili mfululizo
 
Back
Top Bottom