sir venance
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 151
- 223
Ila kumuuza matic tatizo lilianzia hapoWachezaji wana mgomo baridi, hakika Chelsea yetu ni tepetepe mpaka wachezaji wetu wanatoa pasi ili timu pinzani itufunge
Kwa timu kubwa kama Madrid au chelsea hali inayowakumba sahizi cyo ya kawaida huwezi fananisha na everton au leicester City mkuupoleni hakuna timu inaweza kukaa kileleni milele
mfikirie
Madrid
Leicester
Everton
Fungulia sredi yao MadridistasBora Chelsea umewaza kuhusu Real Madrid!
Kwani unataka misimu yote muwe vizuri ligi ya baba yenu?? Lazima na wengine pia wawe vizuri nyie muwe vibaya!!Kama kichwa kinavyojieleza hapo, wadau wenzangu wa thé blues inaonekana msimu huu kwetu ni mgumu, kuanzia epl na hâta uefa, ukiachilia mbali kuumizwa na matokeo kama shabiki, vilevile kuumizwa na kuliwa na mhindi, kitu gani hasa kinaikumba hii timu ?
Imefungwa ikifunguliwa nitafungua.Fungulia sredi yao Madridistas