ununue bando la kutumia kwenye VPNUnabana matumizi ili?
Ndio serikali inaundwa na mtu mmoja?Hv hujui mkulu huwa n waziri wa wizara zote,mfano elimu,ndalichako alikuwa na mipango mingi mizuri lakini alishindwa kuifanya kwakuwa aliwekwa pale kama kivuli,hvyo usiogope hata tusipokuwa na mawaziri,jiwe linajimudu
Mbona mwaka huu mmekuwa na hamu ya cabinet? Kuna nini nyuma yake? Nani anawatuma? Alianza GENTAMYCINE sasa wewe, kesho atakuja Jane Lowassa. Acheni JPM achape kazi na Makatibu Wakuu wa Mawizara.Acha kebehi we kijana.
Achape kazi peke yake, serikali inaundwa na mtu moja?Mbona mwaka huu mmekuwa na hamu ya cabinet? Kuna nini nyuma yake? Nani anawatuma? Alianza GENTAMYCINE sasa wewe, kesho atakuja Jane Lowassa. Acheni JPM achape kazi na Makatibu Wakuu wa Mawizara.
huenda tukapata mfano halisia wa jeshi la mtu mmojaNdio serikali inaundwa na mtu mmoja?