ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
We jinsia gani kwanza tuanzie hapoNakupenda sijawah ku 66 KWA 66 Labda unifundishe!
Inanikata sana demu asipo toa miguno wala kusema sauti za mahaba wakati nachochea ukuni, yaani hata mzuka unakata ghafla. Miguno ni kama mishangilio kwenye mechi I unakupa morari ya kufunga zaidi hata kama umetia sugu we shangilia tuu mimi nifunge nisepe zanguAngalizo kwa watakatifu sitaki mnifokee maana nina nyuzi kibao za maisha na za mijadala ya kijami siwaoni ila hapa mtaanza ooh unapenda ngono
Kwenye jukwaa la chit chat kuna uzi unaitwa JF diary nimeweka nyuzi zangu nyingiiii kama unavutiwa kusoma maandiko yangu ila hili hakikubariki tafadhari tembelea huo uzi na uchague uzi mmoja utakaokuvutia usome kila la kheri🙏🙏
Twende nalooo sasa 👇
Ni vitu gani vikifanyika au ukifanyiwa au ukiona kwa mpenzi wako ukiwa kwa bed vinakukata stim
Au ni vitu gani vikifanyika au ukifanyiwa au kuona kwa bebe wako mizuka inapandaa midadii inakua on yaan 🔥
Watu wengi huona au kufanyiwa vitu vinavyowakera na wanashindwa kusema kuogopa bebe atachukia au atajisikia vibaya
Maana mwingine akiambia badala achukulie positive ana panic na kususa juu
Na wewe ukiangalia upo in love unajikaza kisabuni huku unaungua moyoni huna raha wala fur aha
Ni nini kinakukata stim pale mjini 6*6
Nini kinakupa mizuka pale mjini 6*6
Una ujasiri wa kumwambia mpenzi wako
Kama kuna kitu hakikufurahishi?
Au ni kama samaki na maji mdomoni😜
NB: #Kulombana sio anasa
Lombana kwa faida kede kede zipatikanazo ndani ya tendo hilo
ShesRise_1 🤚
Sawa na mpira bila mashabiki? Yaani uwanja umefungiwa mashabiki hawaruhusiwi kuingia😅Inanikata sana demu asipo toa miguno wala kusema sauti za mahaba wakati nachochea ukuni, yaani hata mzuka unakata ghafla. Miguno ni kama mishangilio kwenye mechi I unakupa morari ya kufunga zaidi hata umeita sugu we shangilia tuu mimi nifunge nisepe zangu
Babu Ebu wape funzo hawa mabinti🤣, hawajui kuwa wa shabiki ni wachezaji wa pili?Sawa na mpira bila mashabiki? Yaani uwanja umefungiwa mashabiki hawaruhusiwi kuingia😅
Sasa kama hasikii raha agune nini sasa na wewe 🤣🤣🤣Inanikata sana demu asipo toa miguno wala kusema sauti za mahaba wakati nachochea ukuni, yaani hata mzuka unakata ghafla.
Cheza na jukwaa mashabiki washangilie 🤣🤣🤣Miguno ni kama mishangilio kwenye mechi I unakupa morari ya kufunga zaidi hata umeita sugu we shangilia tuu mimi nifunge nisepe zangu
😂😂😂uko unatomba limwanamke linalia kama ng'ombe anachinjwa
Sasa kama una mchinja asilie heh we baba mie hoi 🤣🤣uko unatomba limwanamke linalia kama ng'ombe anachinjwa
Ilibaki kidogo ni kutagNimejaa tumbo nawe umejaa tumbo,
Hapana kwa kweli twende tukapige zoezi aisee
Sema kwanza wewe nini kinakukata au kuongeza stim binti 😜kiti cha mbele nichukue notes👌😜
Sijui umewaza nini dah 🤣🤣Madereva wa bajaji muache kutupapasa manyonyo kwa viwiko sisi abiria tunaokaa mbele, mkiwa mnabadili gia.......
Mwanzo wa mechi huwa mgumu yeye aendeleee tu kushangilia ukuni ukikolea mbona hatajutia..Sasa kama hasikii raha agune nini sasa na wewe 🤣🤣🤣
Jukwaa lisilo na mashabiki halina moral ya kuchezewaa, yaani ni lazima shabiki apige yowe kwanza hata la kuzugaCheza na jukwaa mashabiki washangilie 🤣🤣
Eti notes chenga kweli haka😂kiti cha mbele nichukue notes👌😜
nipe no yake nimuulize kama kweli🤣🤣🤣mapenzi ni uchafu lakini yule alikua ananilamba mpka pua alf anataka kunikiss aaah manina nilitapika mno😄😄😄,
Bintii muongoo huyuuu shenziiii,
kiufupi sipendwi kulambwa lambwa kama ki paka kichanga esp maskio, sijui pua, mara jicho vidole vya mikono na miguu hapan kwa kweli huwa inanikata