Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Salaam wanajukwaa!
JamiiForums ni moja ya majukwaa ya kijamii yenye manufaa makubwa kwa kizazi kilichopo na kijacho. Ingawa kuna baadhi ya vijana wanaingia na kuanza kuharibu jukwaa hili kwa kuleta mada ambazo wakati mwingine zinalichafua jukwaa hili.
Sasa leo nina wazo/mada/tafakuri/ ambalo naomba wanajamii wenzangu tujadiliane.
Kwa dunia ya sasa haswa kwa nchi zinazoendelea kama kwetu Tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika. Mimi binafsi nimekuwa nikitafakari sana juu ya hili swali?
Swali? Nini kinalipa kwa kijana anayejitafuta kimaisha ni either working hard au working smart?
Swali? Nini tofauti ya working hard na working smart?
Swali? Nini madhara ya working hard na working smart?
My preliminary opinion; Naona matumizi ya AI yamebadilisha na yanaendelea kubadilisha kila kitu kwenye maisha ya sasa hivi.
Karibuni wanajamii.
NB; USIPITE BILA KUSOMA BANGO LANGU HAPA CHINI, KARIBUNI UKONGA BANANA [ 0710 782874]