GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilivyomuona mwaka juzi au mwaka jana mwanzoni na nilivyoona alivyo sasa si tu nimesikitika bali nimechozika pia.
Naomba Bendi zote za Dansi nchini Tanzania ziandae Tamasha kisha Kiingilio chote kikamsaidie Mzee wetu huyu. Nina uhakika hata baadhi yetu hapa wenye Mioyo myepesi mkipandishiwa hapa Picha ya alivyo na anavyoonekana sasa Mzee King Kikii lazima tu mtachozika.
Kama vipi hata hapa hapa tu JamiiForums ipigwe 'Donee' ya Kiaina na atafutwe Mtu akaufikishe Mzigo kwa Niaba Ok?