GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Weka picha!Nilivyomuona mwaka juzi au mwaka jana mwanzoni na nilivyoona alivyo sasa si tu nimesikitika bali nimechozika pia. Naomba Bendi zote za Dansi nchini Tanzania ziandae...
na mimi nasikia hivyo, Je kwa hali yake kwa sasa inaweza kuwa kweli au ni uzushi tu?Inasemekana bar za kitambaa cheupe ni za kwake, zinasimamiwa na mwanae...hayo matatizo ya kifedha anayapataje?
Sio kwamba ni uzee kutokana na umri wake!Nilivyomuona mwaka juzi au mwaka jana mwanzoni na nilivyoona alivyo sasa si tu nimesikitika bali nimechozika pia.
Naomba Bendi zote za Dansi nchini Tanzania ziandae Tamasha kisha Kiingilio chote kikamsaidie Mzee wetu huyu. Nina uhakika hata baadhi yetu hapa wenye Mioyo myepesi mkipandishiwa hapa Picha ya alivyo na anavyoonekana sasa Mzee King Kikii lazima tu mtachozika.
Kama vipi hata hapa hapa tu JamiiForums ipigwe 'Donee' ya Kiaina na atafutwe Mtu akaufikishe Mzigo kwa Niaba Ok?
Hana shida ya hela ni afya tu ndio shida mtoto wake ana ukwasi wa kutosha ndio mwenye bar za kitambaa cheupeNilivyomuona mwaka juzi au mwaka jana mwanzoni na nilivyoona alivyo sasa si tu nimesikitika bali nimechozika pia.
Naomba Bendi zote za Dansi nchini Tanzania ziandae Tamasha kisha Kiingilio chote kikamsaidie Mzee wetu huyu. Nina uhakika hata baadhi yetu hapa wenye Mioyo myepesi mkipandishiwa hapa Picha ya alivyo na anavyoonekana sasa Mzee King Kikii lazima tu mtachozika.
Kama vipi hata hapa hapa tu JamiiForums ipigwe 'Donee' ya Kiaina na atafutwe Mtu akaufikishe Mzigo kwa Niaba Ok?
Ubarikiwe sana kwa moyo wa utu lakini King nafikiri ni maradhi ya uzee yamemkamata tu shida ya kifedha sidhani sana kwa kweliDonee' ya Kiaina na atafutwe Mtu akaufikishe Mzigo kwa Niaba Ok?