ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Imekaa kiroho zaidiUkikuwa utajua ni kwanini Mila nyingi na dini haziruhusu wanandoa kufunga ndoa au hata kulipa mahari ikiwa Binti ni mjamzito.
Jamii inaona mtu na mwanae..kiroho ni mtu na mke wake...Imekaa kiroho zaidi
Duh na ilikuwa kweli?sometimes inakuwa accidental tu hisia zina dominate na utoto unakuwa mwingi suddenly wanajikuta washasex,,,,huku mtaan dogo mmoja alijitundika(suicide) baada ya ndugu kumtuhumu kambendisha ndugu yake
Umepita na binamu zako ww mwenyewe usitusingizie uchafu wako, kukosa aibu na heshima kwa familia yako, wanaume wenzako tunaheshimu mila na desturi, ndio nyie mna lawiti watoto zenu wa kiume.Binamu nyama ya hamu kiukweli wanaume wengi tumepita na mabinamu
Ndiyo nishafr mabinamu zangu wote sita 😂 watamu kweliUmepita na binamu zako ww mwenyewe usitusingizie uchafu wako, kukosa aibu na heshima kwa familia yako, wanaume wenzako tunaheshimu mila na desturi, ndio nyie mna lawiti watoto zenu wa kiume.
Umeniudhi sana hapa.
Hamna wanaume wengi wanaopita na binamu zao, umenikera sana hapa.
Duh umetoa povu hatari! Kunywa maji utulie.Umepita na binamu zako ww mwenyewe usitusingizie uchafu wako, kukosa aibu na heshima kwa familia yako, wanaume wenzako tunaheshimu mila na desturi, ndio nyie mna lawiti watoto zenu wa kiume.
Umeniudhi sana hapa.
Hamna wanaume wengi wanaopita na binamu zao, umenikera sana hapa.