Nini kinasababisha Joto kali la Malaria?

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,660
Reaction score
6,282
Nimekuwa nikijiuliza nikitu gani kinachofanya mwili wa binadam kuwa na joto Kali kupita kiwango chake cha kawaida pindi anapoumwa malaria.
ni nini kinachosababisha na Kama ni vijidudu vinapata wapi moto wa kuweza kuuwasha ndani ya mwili bila mwili kuungua lakini kuwe na joto Kali nadhani nimeeleweka na humu najuwa kuna watu wenye utaalam wa mambo hayo.
Nawasilisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…