Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Salaam madaktari&wana Jf.
Naomba kujuzwa
1:mechanism behind kutekenywa(Kwapani,tumboni,kwene mbavu nk) na kwanini mtu akitekenywa anacheka.
2:Kwanini,as age advances,hiyo hali inapungua.
Ahsanteni.