Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,979 Sep 5, 2013 #1 Salaam madaktari&wana Jf. Naomba kujuzwa 1:mechanism behind kutekenywa(Kwapani,tumboni,kwene mbavu nk) na kwanini mtu akitekenywa anacheka. 2:Kwanini,as age advances,hiyo hali inapungua. Ahsanteni.
Salaam madaktari&wana Jf. Naomba kujuzwa 1:mechanism behind kutekenywa(Kwapani,tumboni,kwene mbavu nk) na kwanini mtu akitekenywa anacheka. 2:Kwanini,as age advances,hiyo hali inapungua. Ahsanteni.