Nini kinasababisha kuhisi njaa muda mfupi baada ya kula?

Nini kinasababisha kuhisi njaa muda mfupi baada ya kula?

Lakabu

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2023
Posts
511
Reaction score
1,277
Habari za mida hii wanajukwaa?

Kwa takribani siku ya tatu nahisi njaa muda mfupi baada ya kula. Huwa nakula mara tatu Kwa siku, lakini Hali ya Sasa hivi inanipa wasi wasi hasa ni nini nakosa katika Milo ninayokula Kila siku?
 
Minyoo
Kufanya kazi ngumu au unatumia akili kubwa sana kuwaza ,mim nikiwa chuo nasoma nilikuwa nakula sana
 
Vp unafanyaga mazoez? Vp kazi ngumu? Dawa ya minyoo mara ya mwisho umekula Lin?
 
Back
Top Bottom