L Lakabu JF-Expert Member Joined May 26, 2023 Posts 511 Reaction score 1,277 Dec 18, 2023 #1 Habari za mida hii wanajukwaa? Kwa takribani siku ya tatu nahisi njaa muda mfupi baada ya kula. Huwa nakula mara tatu Kwa siku, lakini Hali ya Sasa hivi inanipa wasi wasi hasa ni nini nakosa katika Milo ninayokula Kila siku?
Habari za mida hii wanajukwaa? Kwa takribani siku ya tatu nahisi njaa muda mfupi baada ya kula. Huwa nakula mara tatu Kwa siku, lakini Hali ya Sasa hivi inanipa wasi wasi hasa ni nini nakosa katika Milo ninayokula Kila siku?
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Dec 19, 2023 #2 Itakuwa una Minyoo Mkuu. NENDA HOSPITAL UKACHEKIWE. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Haiku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 2,915 Reaction score 2,050 Dec 19, 2023 #3 Huenda ndani ya hizi siku tatu umefanya kazi ngumu. Tofauti na hapo nenda hospital mkuu.
Los santos JF-Expert Member Joined Jan 14, 2021 Posts 1,167 Reaction score 2,591 Dec 25, 2023 #4 Minyoo Kufanya kazi ngumu au unatumia akili kubwa sana kuwaza ,mim nikiwa chuo nasoma nilikuwa nakula sana
Minyoo Kufanya kazi ngumu au unatumia akili kubwa sana kuwaza ,mim nikiwa chuo nasoma nilikuwa nakula sana
Lakunle JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 635 Reaction score 586 Dec 26, 2023 #6 Sukari kapime aisee
scot mcomic JF-Expert Member Joined Apr 17, 2021 Posts 234 Reaction score 383 Dec 26, 2023 #8 Vp unafanyaga mazoez? Vp kazi ngumu? Dawa ya minyoo mara ya mwisho umekula Lin?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 26, 2023 #9 Roho mbaya...