Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Mimi ni kijana mdogo miaka kama 25 hivi, ila mpaka sasa nina mvi kuanzia kwenye ndevu hadi kichwani. Sitaki kujali sana juu ya hili ila nahitaji tu kufahamu hii inasababishwa na nini?
Na pia kuna tiba yake?
Karibuni!
Na pia kuna tiba yake?
Karibuni!