Dawa yake ipo: Mnunue jogoo mkubwa aliekomaa na ndizi bukoba,mchinje kuku mchemshe,kisha changanya na ndizi bukoba,weka karot,hoho,tangawizi kidogo.akiiva jifungie chumbani kula taratibu(Mtu akibisha hodi usimfungulie),ukimaliza pata juice ya embe kidogo.baada ya hapo lala kidogo.fanya hivyo wiki 1 MVI ZOTE ZITAPOTEA.