Nini kinasababisha ndoto za vijana wengi kufa?

fedrick Andrea

New Member
Joined
May 16, 2024
Posts
1
Reaction score
2
Mimi Nina miaka kadhaa namtumikia Mungu chini ya huduma ya Synagogue of Christ ministry lakini swali langu ni;

Nini kinaua ndoto za vijana wengi?
 
Upwiru wa mwendo kasi ni chanzo kikuu.
 
Binafsi ni kutokuamini kama naweza kutimiza jambo fulani ikichagizwa na uoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…