Nimegoogle nikapata majibu kama haya??? (nayaita majibuIpo taa ya blue inayowaka kwenye dash board ambayo huanza na rangi ya njano engine inapowaka, halafu blue na kisha kuzimika kabisa. Wakati nikinunua gari taa hii ilikuwa inachukia dakika kama tatu au nne hivi inazimika. Lakini sasa hivi inachelewa hadi dakika kama tano hadi saba hivi kuzimika. Tatizo ni nini?
Ahsante sana. Nasubiri majibu ya wataalam wengine zaidi.Nimegoogle nikapata majibu kama haya??? (nayaita majibu
So we bought the 2010 Forester for my wife. We owned the car a little less than a month and we always see the blue coolant/temperature light when we start the car in the cold morning. It takes about 30 seconds (or sometime longer) before it clears itself. According to the manual, it is okay to be blue and I have read that it is to indicate the engine is not warmed up yet.
My wife refuses to move the car until the blue light disappears. (Any advice?)
We are wondering how long it takes for the blue light to clear for other 2009/2010 forester owners. Can you also indicate whether your forester is in a cold weather or warm weather environment. That would be helpful too.
Jibu
My recollection is that my car's blue temp light turns off when the coolant temp reaches ~122F (~50C). How long the engine takes to reach that temp will depend on ambient temp, initial loads, etc. It'll be one thing in the summer, and another in the winter. I've never let it just sit and idle long enough to extinguish the light.
Kwa experience binafsi kwenye gari ndogo. Nilipoitoa thermostat gari ilikiwa inaweza tumia dakika hata 8 kuzima ila nilipoirudishia tu, taa inazima ndani ya muda mfupi saanaIpo taa ya blue inayowaka kwenye dash board ambayo huanza na rangi ya njano engine inapowaka, halafu blue na kisha kuzimika kabisa.
Wakati nikinunua gari taa hii ilikuwa inachukia dakika kama tatu au nne hivi inazimika. Lakini sasa hivi inachelewa hadi dakika kama tano hadi saba hivi kuzimika. Tatizo ni nini?
Temperature sensor mbovu,Ipo taa ya blue inayowaka kwenye dash board ambayo huanza na rangi ya njano engine inapowaka, halafu blue na kisha kuzimika kabisa.
Wakati nikinunua gari taa hii ilikuwa inachukia dakika kama tatu au nne hivi inazimika. Lakini sasa hivi inachelewa hadi dakika kama tano hadi saba hivi kuzimika. Tatizo ni nini?
Gari ikiwa na thermostat inawarm up haraka sana, hili ukiwaambia watu hata hawaelewi, wanaleta habari zao ambazo hazina kichwa wala miguu.Kwa experience binafsi kwenye gari ndogo. Nilipoitoa thermostat gari ilikiwa inaweza tumia dakika hata 8 kuzima ila nilipoirudishia tu, taa inazima ndani ya muda mfupi saana
Aaaah.. kaka Jitu mara nyingi nikiwaeleza rafiki zangu umuhimu wa thermostat huwa ni mzozo.. wanakwambia "Tanzania kuna joto kali saaana inabidi utoe" .. hii argument huwa siipendi maana ambient outside temperature mpaka ije iipe gari effect ya joto au baridi ni kwa EXTREME environments tuu kama watu wa uarabuni ambapo joto huwa linafika mpaka nyuzi joto 49°-55°.. au nchi za barafu zilizo chini ya nyuzi joto 8°.. ila kwa sisi kama gari ina radiator iliyo sawa na coolant flow nzuri isiyo na leakage, injini huwa inafanya kazi kwa usanifu zaidi katika joto lake inalopendelea. Na operating temperature ya coolant kwenye injini ni 82°C ambalo ni joto la maji ya kunywea chai kabisa, na haliwezi fanana na joto la nje.Gari ikiwa na thermostat inawarm up haraka sana, hili ukiwaambia watu hata hawaelewi, wanaleta habari zao ambazo hazina kichwa wala miguu.