PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,321
- 973
Habari wakuu;
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina nyumba yangu yangu ambayo niliijenga mfululizo (non stop) hadi nahamaia, na sasa imetimia mwaka mmoja.
lakini jambo la kushangaza madirishani kunatokea mipasuko hadi inaninyima raha yaani kila dirisha la nyuma yangu lina mipasuko at least miwili ambayo inaanzia juu kushuka kwenye msingi.
Kwa ufupi nyumba hii imejengwa kwenye slope kdg hivyo upande mmoja n=una kozi nane na mwingine kozi tano ila fundi hakuweka matundu ya kupumilia kwenye msingi.
Naomba nielekezwe tatizo linaweza kusababishwa na nini, na nifanye nini ili tatizo hilo lisiendelee? nawashukuru sana