Repair nyumba hiyo, ni tatizo lililopo DarHabari wakuu;
Kama kichwa cha havbari kinavyojieleza, nina nyumba yangu yangu ambayo niliijenga mfululizo (non stop) hadi nahamaia, na sasa imetimia mwaka mmoja.
lakini jambo la kushangaza madirishani kunatokea mipasuko hadi inaninyima raha yaani kila dirisha la nyuma yangu lina mipasuko at least miwili ambayo inaanzia juu kushuka kwenye msingi. Kwa ufupi nyumba hii imejengwa kwenye slope kdg hivyo upande mmoja n=una kozi nane na mwingine kozi tano ila fundi hakuweka matundu ya kupumilia kwenye msingi.
Naomba nielekezwe tatizo linaweza kusababishwa na nini, na nifanye nini ili tatizo hilo lisiendelee? nawashukuru sana
Ukijenga msingi ni vyema ukaweka mkanda (Rinta), hii inasaidia nyumba isiwe na nyufa kwenye Boma pia inasaidia kuwa ImaraRepair nyumba hiyo, ni tatizo lililopo Dar
Sio peke yako
Wanasema nyumba inasettle
Baada ya hapo nyufa zitaacha
Ndio maana dar Misingi ya nyumba inajengewa rinta wakati mikoani mfano morogoro, msingi wa nyumba hauzungushiwi hiyo rinta (yani zege yenye nondo)
Wachawi walitaka kuingia ndaniHabari wakuu;
Kama kichwa cha havbari kinavyojieleza, nina nyumba yangu yangu ambayo niliijenga mfululizo (non stop) hadi nahamaia, na sasa imetimia mwaka mmoja.
lakini jambo la kushangaza madirishani kunatokea mipasuko hadi inaninyima raha yaani kila dirisha la nyuma yangu lina mipasuko at least miwili ambayo inaanzia juu kushuka kwenye msingi.
Kwa ufupi nyumba hii imejengwa kwenye slope kdg hivyo upande mmoja n=una kozi nane na mwingine kozi tano ila fundi hakuweka matundu ya kupumilia kwenye msingi.
Naomba nielekezwe tatizo linaweza kusababishwa na nini, na nifanye nini ili tatizo hilo lisiendelee? nawashukuru sana