Nini kinasababisha wanawake kutokwa na utando mweupe wakati wa kufanya ngono?

Nini kinasababisha wanawake kutokwa na utando mweupe wakati wa kufanya ngono?

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
Wakuu hodi humu,

Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?

Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi.

Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?
 
Kama unapiga show na shemeji anatokwa na na huo utandu basi unafanya kazi nzuri sana, hiyo ni ishara kuwa your partner anaenjoy na mko pamoja katika safari ila hakikisha mnamaliza pamoja na kwa uzoefu kuna specific styles ambazo unaweza kumfikisha huyo mpenzio huko.

Huo sio uchafu na unatakiwa ufurahie coz mapenz pamoja na uchafu wake wote haviitwi uchafu. Remember only creative and clever men ndio wanaweza kuwaridhisha wapenzi wao, wengi wetu tunaishia kutoa visingizio visivyokuwa hata na kichwa wala miguuuuuuu.

Tendo la ndoa ni two way game na mwisho wote tunatakiwa tuwe happy.
 
Kama unapiga show na shemeji anatokwa na na huo utandu basi unafanya kazi nzuri sana, hiyo ni ishara kuwa your partner anaenjoy na mko pamoja katika safari ila hakikisha mnamaliza pamoja na kwa uzoefu kuna specific styles ambazo unaweza kumfikisha huyo mpenzio huko. Huo sio uchafu na unatakiwa ufurahie coz mapenz pamoja na uchafu wake wote haviitwi uchafu. Remember only creative and clever men ndio wanaweza kuwaridhisha wapenzi wao, wengi wetu tunaishia kutoa visingizio visivyokuwa hata na kichwa wala miguuuuuuu. Tendo la ndoa ni two way game na mwisho wote tunatakiwa tuwe happy.

Thankx Mkuu kama hii ni kweli japo bado nina wasiwasi na maelezo yako.

Zamani we used to sex na alikua hatokwi na utoko mwingi kiasi hiki but kwa hivi karibuni ndo nimeanza kuona mwingi zaidi kiasi kwamba hata yeye mwenyewe anashangaa sana na anaona aibu kwa hali inayomtokea.

Nilimshauri akakubali tukaenda hospital kucheck kama ana UTI ila hana kitu.

Lakini bado nina mashaka kama hii ni hali ya kawaida au ni ugonjwa ambao anao.
 
Ni kweli sasa unasababishwa na nini ndicho mleta mada abataka kuelewa.

Ni kweli mkuu, Huu uzi nimeuleta hapa ili na Mimi nisaidiwe sababu kuna wazoefu humu ambao wamekutana na hali kama hii.

Ni vibaya kuanza kumshambulia mtu na sio kumpa ushauri nini cha kufanya.
 
Hiyo ni fungus, Vaginal candidiasis

Confused.

Kuna jamaa kadai ni utoko wa kawaida na ikitoka basi girl ameridhika na ww unaniambia kuwa ni fungus sasa nimwelewe nani?

Mkuu kwakua unaonekana unakaujuzi kidogo na hii kitu basi naomba ushare na mimi kidogo.

Je hizo Fungus huwa zinasababishwa na nini na nifanye nn ili asiwe nazo au afanye nn ili asipate tena?
 
Wakuu hodi humu,

Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?

Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi.

Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?

true wangu pia anatatizo hilo! na natofautiana na jamaa zangu wanaofananisha utandu huo na ute au goli wa mwanamke saabu somtimes ukiingiza tu nanilihii ukeni kwake unakuta unatoka na utandu huo! na pia mkipiss wote baada ya kujikausha vizuri kwa kurudia tendo utandu huo hupotea na kubakiwa na ute tu! swali ni nini hiii wakuu.
 
Nadhani usababishwa na mafuta mafuta hayo ya mwilini kwa huyo girl na huwa inawatokea haasa wadada si ugonjwa. Some time inawapata hatawakiwa wajawazito na utokea hata wakati wa kujifungua na uwagikia watoto wao wakiwa tumboni.

Ila ni bora bro ukaoa kuliko ku do do na wadada wa watu.
 
Thankx Mkuu kama hii ni kweli japo bado nina wasiwasi na maelezo yako.

Zamani we used to sex na alikua hatokwi na utoko mwingi kiasi hiki but kwa hivi karibuni ndo nimeanza kuona mwingi zaidi kiasi kwamba hata yeye mwenyewe anashangaa sana na anaona aibu kwa hali inayomtokea.

Nilimshauri akakubali tukaenda hospital kucheck kama ana UTI ila hana kitu.

Lakini bado nina mashaka kama hii ni hali ya kawaida au ni ugonjwa ambao anao.
wakati wa maandalizi pia huo utoko huwa unakua mwingi? kama maziwa mtindi unamaanisha rangi yake au jinsi ulivyo? Unatoa harufu mbaya? unawasha? Kwa jinsi ulivyoelezea mi naomba nikupongeze kwa kazi nzuri ya kumfikisha bibie kileleni maana asilimia 80 ya wanawake hawafiki bali wengine huishia kuigiza na kelele nyingi ili kuwaridhisha wanaume.

U.T.I ni kifupi cha Urinary Tract Infections yaani maambukizi kwenye njia ya mkojo na kwa maelezo yako huo utoko unatokea ukeni kwahyo haihusiki hapa ila ninaweza kukushauri ili mmpate uhakika kabisa mnaweza kwenda hospital ambayo wanafanya culture( kuna kipimo cha kuuotesha huo utoko na kuona kama kuna wadudu au la, kinaitwa High vaginal swab culture)
 
Thankx mkuu kwa Ushauri wako.

Nitaufanyia kazi haraka sana. Kudos
 
katika kurukaruka kwangu kooote nimebahatika kukutana na haya mara 2 tu,inamaaana wengine wote cwafikishi??!
 
Isha mtokea wife wkt akiwa mjamzito, tulienda kwa dk akampa vidonge na mfano wa kijiti cha plastic ili awe anaingiza vidonge vile. Kwa kuwa kilimsababishia maumivu, akanishauri niingize kwa kutumia dude langu hadi dozi kuisha yakawa hayatoki tena.

Lkn pia nilihisi yanatokea kwa wife kupenda kutafuna mchele, nikampiga bit asitafune tena.
 
Back
Top Bottom