Utoko.......
..angefanya as alivyoshauriwa...JF DOCTOR nafikiri atapata majibu mazuri na sahihi zaidi.Ni kweli sasa unasababishwa na nini ndicho mleta mada abataka kuelewa.
Kama unapiga show na shemeji anatokwa na na huo utandu basi unafanya kazi nzuri sana, hiyo ni ishara kuwa your partner anaenjoy na mko pamoja katika safari ila hakikisha mnamaliza pamoja na kwa uzoefu kuna specific styles ambazo unaweza kumfikisha huyo mpenzio huko. Huo sio uchafu na unatakiwa ufurahie coz mapenz pamoja na uchafu wake wote haviitwi uchafu. Remember only creative and clever men ndio wanaweza kuwaridhisha wapenzi wao, wengi wetu tunaishia kutoa visingizio visivyokuwa hata na kichwa wala miguuuuuuu. Tendo la ndoa ni two way game na mwisho wote tunatakiwa tuwe happy.
Ni kweli sasa unasababishwa na nini ndicho mleta mada abataka kuelewa.
Hiyo ni fungus, Vaginal candidiasis
Wakuu hodi humu,
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa ku~do?
Mimi ni Mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapo~do kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi.
Wenye elimu kuhusu hii kitu naomba ushauri wenu Je ni ugonjwa au ni hali ya kawaida tu?
wakati wa maandalizi pia huo utoko huwa unakua mwingi? kama maziwa mtindi unamaanisha rangi yake au jinsi ulivyo? Unatoa harufu mbaya? unawasha? Kwa jinsi ulivyoelezea mi naomba nikupongeze kwa kazi nzuri ya kumfikisha bibie kileleni maana asilimia 80 ya wanawake hawafiki bali wengine huishia kuigiza na kelele nyingi ili kuwaridhisha wanaume.Thankx Mkuu kama hii ni kweli japo bado nina wasiwasi na maelezo yako.
Zamani we used to sex na alikua hatokwi na utoko mwingi kiasi hiki but kwa hivi karibuni ndo nimeanza kuona mwingi zaidi kiasi kwamba hata yeye mwenyewe anashangaa sana na anaona aibu kwa hali inayomtokea.
Nilimshauri akakubali tukaenda hospital kucheck kama ana UTI ila hana kitu.
Lakini bado nina mashaka kama hii ni hali ya kawaida au ni ugonjwa ambao anao.
wakati wa maandalizi pia huo utoko huwa unakua mwingi? kama maziwa mtindi unamaanisha rangi yake au jinsi ulivyo? Unatoa harufu mbaya? unawasha? Kwa jinsi ulivyoelezea mi naomba nikupongeze kwa kazi nzuri ya kumfikisha bibie kileleni maana asilimia 80 ya wanawake hawafiki bali wengine huishia kuigiza na kelele nyingi ili kuwaridhisha wanaume.
U.T.I ni kifupi cha Urinary Tract Infections yaani maambukizi kwenye njia ya mkojo na kwa maelezo yako huo utoko unatokea ukeni kwahyo haihusiki hapa ila ninaweza kukushauri ili mmpate uhakika kabisa mnaweza kwenda hospital ambayo wanafanya culture( kuna kipimo cha kuuotesha huo utoko na kuona kama kuna wadudu au la, kinaitwa High vaginal swab culture)