Nini kinasababisha wanawake kutokwa na utando mweupe wakati wa kufanya ngono?

Ni kweli ianawezekana hapo mwanzoni binti alikuwa hajiachii ipasavyo, au alikuwa anakuonea aibu, au anaogopa, au mapenzi yalikuwa sio kiviiiiiiile, lakini sasa kaamua kufunguka. Usimcheke coz sio choice yake kuwa na hali hiyo ni feeling na kazi nzuri unayofanya. kaza buti kijana huo ndio uanaume, sio kupiga mangumi tuu wakina dada na visingizio lukuki.
 
Utandu kama maziwa ya mtindi ni kwa mwanamke ambaye hajafanya ngono kwa siku kadhaa.Kama anafanya mara kwa mara huo haupo.Hamna cha uchafu,ukiwa na mwenza wako hujakutana nae mwezi,ukaja kukutana nae na akawa huu utandu haupo ujue alikua anafanya kama kawaida.Hata mkeo mkikaa wiki lazima utaukuta huo utandu,ila kama anafanya kila siku au mara kwa mara hautakuwepo
 

Sure upo sahiii kabis dem ka aja do cku nying lazm hal ka io itamtokea but it depend co kwa wote
 

Hata mimi nilikutana na demu wa aina hiyo. Utando mwingi sana. Baada ya week 1 akaanza kuhisi maumivu, kwenda kupima akawa ana UTI. Ila hadi leo mimi sijapata dalili yoyote. Mh!
 

Mkuu hapo umenena vzuri.kutokujisafisha vizuri papuchi kunapelekea hiyo hali ambayo huwa ni fungus.usafi unahitajika yapasa kuingiza kidole kuutoa kila unapojisafisha.Zaidi eaende hospital ili aoate tiba ya fungus ya kunywa naile antifungul ya kuinsert kwa papuchi.
 
😛oa On point Mkuu

 
Bacterial Vaginosis: Chanzo halisi cha ugonjwa
huu hakifahamiki. Kinachotokea ni kuongezeka
kwa ghafla kwa idadi ya bacteria hawa na
kubadilisha uwiano wake kwenye mazingira ya
uke. Wanawake wenye wapenzi wengi au
wanaofanya mapenzi kupitia midomo wanakuwa
kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata
maambukizi ya Bacterial Vaginosis.
Dalili za Bacterial Vaginosis:
– Kuongezeka kwa uchafu unaotoka ukeni
– Kutokwa na uchafu wa kijivu/mweupe,
mwepesi au wa majimaji
– Harufu kama ya samaki ikiambatana na
uchafu
– Harufu inayozidi au uchafu unaozidi mara
baada ya kufanya tendo la ndoa.
Tiba kwa tatizo la bacterial vaginosis zipo za
aina mbili. Tiba ya aina ya kwanza ni
kutumia metronidazole (Flagyl) na tiba ya pili ni
kutumia antibiotic ya vidonge au ya cream.
 
Ukitaka kuona hiyo makitu piga style ya mbuzi kagoma kwenda malishoni , make sure kila mmoja amekaa kwenye pozi nzuri na comfortable, yaani hakuna anayefeel amekaa vibaya na anaumia , then piga kazi taratiibuu lazima utaona hiyo maneno.
 
wanawake pia wanakojoa wewe wa wapi nainategemea wengine wanamwaga sana
 
Huyo mwanamke atakuwa mchafu. Au ana virginal infection..
 
Hali hiyo ni ya kawaida kwa wanawake wote. Unajua uke unajisafisha naturally through menstral period. Ukiwa umekutana na mpenzi wako mara tu baada ya kuacha ku-bleed, utakuta utando huo haupo maana damu hiyo inatoa uchafu wote ikiwa ni pamoja layer iliyojitengeneza kwenye uke wake, yai lake ambalo halikurutubishwa na shahawa zako ambazo uliziweka. Yaani chumba inakuwa safi. Lakini mki-do katikti ya mzunguko na karibibia mwisho lazima hali hiyo ya utando utaikuta tu. Labda kama anajinsi ya kujisafisha inside the vagina ambayo hairuhusiwi kitaalamu. Na kama utaukwangua kama leo effectively na akaosha externally, kesho yake hutaweza kuuona.
 
kuuliza si ujinga wakuu mimi kila nikiwa kwenye game na mpenzi wangu siyo mmoja yaani wote niliowahi kukutana nao faragha pale kunako 6 kwa 6 game likiwa limekolea naona kama dushe langu lina ukungu mweupe mweupe flani hivi yaani kila ninavyopushi in and out na ule weupe unajipaka kwenye dushe naweza kusema kama white cream hivi,

Sometime kwa wengine naweza kuta kila ninavyopushi in and out kule ndani yake kunaanza kuwa kama kukavu flani hivi alafu dushe kama inavutwa na sumaku yaani ukipeleka in inavutwa ukitoa out inavutwa hadi Raha na mwisho nakuja kukuta tena ile cream ya mwanzo ni nini hii wakuu ?

Yaani huwa najiuliza ni kitu gani kile kinachotoka na white colour vile isije ikawa namna gani vipi wakuu ?

Mwenye ufahamu wa hiyo white cream aje aniambie ni nini je haina madhara yeyote ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…