Nini kinasababisha wasiwasi kupita kiasi?

Nini kinasababisha wasiwasi kupita kiasi?

Wakuu nawasalimu Kwa jina la Jamuhuri.
Nini kinasababisha kuwa na wasiwasi ya kupita kiasi na je huu ni ugonjwa gani na tiba yake ikoje?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Op, kama hutojali andika zaidi kuhusu huo wasiwasi. Na ni wasiwasi juu ya nini? Kitu kilichopo? Au hofu juu ya kitu kisichopo?
 
Ni hofu ya kitu chochote kinachokuja mbele yako iwe ni majukumu au kina kitu unachoenda kuwasilisha au pale matarajio yanapoenda kinyume.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Inaitwa "Panic Attack".

Fanya research zaidi na ufuatiliaji ili kufahamu zaidi kuhusu 'PANIC ATTACK'.

Ingia Google.

-Kaveli-
 
Iyo ni ugonjwa wa AKILI unaitwa ANXIETY UNAHISI WATU WANATAKA KUKUDHRU KUMBE WEWE UBONGO WAKO NDIO UNA TATIZO AU KAMA ULI EXPERIENCE SITUATION MBAYA LETS SAY AJALI NA UKAPONA WENGINE WAKAFA SASA KILA UKIFIKIRIA SONO A INAANZA NENDA KAONANE NA PSYCHRIATIC UMWELEZE HOFU YAKO INASABISHWA NA NINI ATAKUPA MSAADA
 
Hamna kitu chochote kibaya nilichowahi kushuhudia zaidi zaidi hii hali imetokea baada ya kuhama Mkoa. Ingawa nilikuwa nayo kabla lakini baada ya kuhama Mkoa hii kitu imekua Kwa kiasi kikubwa zaidi.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nawasalimu Kwa jina la Jamuhuri.

Nini kinasababisha kuwa na wasiwasi ya kupita kiasi na je huu ni ugonjwa gani na tiba yake ikoje?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Depression tiba yake ni vizuri ukaenda hospital ili ukutane na mshauri nasaa. hapa jF ss tutakupa chai tu alafu tukuongezee mawazo
 
Pole sana, ni ugonjwa ndiyo... Kisababishi ni kutojiamini...
 
Na hii imekuja ni baada ya kutoka mikoa ya kusini kuja hapa mjini Kati kwenye makao mapya ya nchi. Wengine wanasema ni kutokana na kubadili mazingira ila hata sijajua.

Nimeenda hospital zaidi ya mara 2 na kucheki viashiria vinavyoweza kusababisha hii hali lakini kila kitu kipo sawa ingawa mara ya pili nikakuta ninamalaria ,baada ya kutibu naona hali haijarejea kama nilivyokuwa maeneo yangu ya mwanzo.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom