Op, kama hutojali andika zaidi kuhusu huo wasiwasi. Na ni wasiwasi juu ya nini? Kitu kilichopo? Au hofu juu ya kitu kisichopo?Wakuu nawasalimu Kwa jina la Jamuhuri.
Nini kinasababisha kuwa na wasiwasi ya kupita kiasi na je huu ni ugonjwa gani na tiba yake ikoje?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Oky nini suluhisho la hii kitu? Na inasababishwa na nini?Hyo ni Anxiety ama Depression mkuu,,ni ugonjwa mbaya sana.
Suluhisho ni Yesu ,Oky nini suluhisho la hii kitu? Na inasababishwa na nini?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Husababishwa na overthinking..na dawa pekee ni kupractice Meditation,utakuwa free.. unless utasuffer mnooOky nini suluhisho la hii kitu? Na inasababishwa na nini?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wakuu nawasalimu Kwa jina la Jamuhuri.
Nini kinasababisha kuwa na wasiwasi ya kupita kiasi na je huu ni ugonjwa gani na tiba yake ikoje?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Sina madeni yeyote Yale Mkuu ni situation iliyokuja tu nduguLipa madeni wasiwasi hautakupata tena
Hamna kitu chochote kibaya nilichowahi kushuhudia zaidi zaidi hii hali imetokea baada ya kuhama Mkoa. Ingawa nilikuwa nayo kabla lakini baada ya kuhama Mkoa hii kitu imekua Kwa kiasi kikubwa zaidi.Iyo ni ugonjwa wa AKILI unaitwa ANXIETY UNAHISI WATU WANATAKA KUKUDHRU KUMBE WEWE UBONGO WAKO NDIO UNA TATIZO AU KAMA ULI EXPERIENCE SITUATION MBAYA LETS SAY AJALI NA UKAPONA WENGINE WAKAFA SASA KILA UKIFIKIRIA SONO A INAANZA NENDA KAONANE NA PSYCHRIATIC UMWELEZE HOFU YAKO INASABISHWA NA NINI ATAKUPA MSAADA
Muone Mshana JrHamna kitu chochote kibaya nilichowahi kushuhudia zaidi zaidi hii hali imetokea baada ya kuhama Mkoa. Ingawa nilikuwa nayo kabla lakini baada ya kuhama Mkoa hii kitu imekua Kwa kiasi kikubwa zaidi.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Depression tiba yake ni vizuri ukaenda hospital ili ukutane na mshauri nasaa. hapa jF ss tutakupa chai tu alafu tukuongezee mawazoWakuu nawasalimu Kwa jina la Jamuhuri.
Nini kinasababisha kuwa na wasiwasi ya kupita kiasi na je huu ni ugonjwa gani na tiba yake ikoje?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Aisee ninachamgamoto sana ,nikikaa Mahali huwa sipendi makelele nikafikiria labda shinikizo la damu au sukari nimecheki vyote vipo Normal.Pole sana, ni ugonjwa ndiyo... Kisababishi ni kutojiamini...
Mazoezi napiga sana mkuuFanya mazoezi sana kisha jaribu kujikeep busy,usipende kukaa peke yako,jichanganye na watu.