Ndugu zangu mimi ni mwana wa asielala. Macho yangu mara nyingi hayafungi.. Ila kuona msio yaona. Kuandika msiyoyatarajia.
It might be I was the first person to know Magufuli will be the president and i'm sure ni Mungu alimchagua.
Ila leo natamani kusema kila kinataka kutokea na sii kwa mtu binafsi but kwa watanzania wote.
Taifa linapita nyakati ngumu sana ambazo huenda hakuna utawala umewahi kupitia ukiacha utawala wa Mwalim Nyerere.
Taifa lina jambo linataka kutokea na huenda wengi tulipokuwa macho na kumuomba Mungu tunaweza kulia badala ya kufurahi.
Dalili zinaonyesha kunakila dalili zinaonyesha kuna msuguano mkali ndani ya ofisi nyeti zinazo ratibu maswala ya kiusakama na taasisi za ndani za maswala ya kisiasa kila mmoja akimuangalia mwenzake kwa red eyes kwakuwa wanaona sasa kule tunaenda kamasio tunataka kufanya serikali kuwa na matabaka ambayo uwenda yakasumbuwa system nzima ya uongozi wa taifa.
Kama mnavyo juwa nchi hii ina wazee tena wazee ambao sio wazee tu ila wana nguvu zinataka kukaribiana na Rais. Mkubali ama msikubali. Marais wastaafu wana nafasi kubwa ktk kumshauri na kumsaidia rais nahili sio siri. Rais anapaswa kukaa na kujifunza kutoka kwa wastaafu ila inaonekana ama kama Rais wetu alivyo jnasibu mbele ya wananchi hawezi kuvumilia uwozo hata kama ni nani atafumua mauwozo hayo. Sasa hapa kiukweli sio siri panaitaji uvumilivu na maombi mengi kwa Rais wetu maana ndipo panaonekana panalisumbuwa taifa.
Jambo lingine ni hii hali ya wanachama wa vyama vingine kuamia ccm hili nijambo wengi hawalijuwi ila ndio mwanzo wa uchungu na siri ni nzito hata magogoni hawaamini kinatokea ila siri ni nzito.
Jambo lataka kulikumba taifa kila mtu asali tupite salama. Hawaami kwa kupenda ila kuna jambo limejificha...