Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Jul 18, 2022 #1 Nasikia hati ni miaka 33, 66 na 99. Ni kama umekodi kiwanja toka serikalini kwa miaka hiyo. Nini kinafuata baada ya hati kuexpire? Mtu anaweza fika dau serikalini na kukutoa?
Nasikia hati ni miaka 33, 66 na 99. Ni kama umekodi kiwanja toka serikalini kwa miaka hiyo. Nini kinafuata baada ya hati kuexpire? Mtu anaweza fika dau serikalini na kukutoa?
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 6,585 Reaction score 10,363 Jul 18, 2022 #2 Ngoja wajuzi waje watufungue macho
I Intuition JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 1,442 Reaction score 4,700 Jul 18, 2022 #3 Nenda tu ofisi za Ardhi ..urenew...(Renewal)....simple sana
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Jul 18, 2022 #4 Lycaon pictus said: Nasikia hati ni miaka 33, 66 na 99. Ni kama umekodi kiwanja toka serikalini kwa miaka hiyo. Nini kinafuata baada ya hati kuexpire? Mtu anaweza fika dau serikalini na kukutoa? Click to expand... Haiwezekani.
Lycaon pictus said: Nasikia hati ni miaka 33, 66 na 99. Ni kama umekodi kiwanja toka serikalini kwa miaka hiyo. Nini kinafuata baada ya hati kuexpire? Mtu anaweza fika dau serikalini na kukutoa? Click to expand... Haiwezekani.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jul 18, 2022 #5 Lycaon pictus said: Nasikia hati ni miaka 33, 66 na 99. Ni kama umekodi kiwanja toka serikalini kwa miaka hiyo. Nini kinafuata baada ya hati kuexpire? Mtu anaweza fika dau serikalini na kukutoa? Click to expand... Unapewa muda wa kisheria kuendeleza umiliki ukikaa kimya unapokonywa
Lycaon pictus said: Nasikia hati ni miaka 33, 66 na 99. Ni kama umekodi kiwanja toka serikalini kwa miaka hiyo. Nini kinafuata baada ya hati kuexpire? Mtu anaweza fika dau serikalini na kukutoa? Click to expand... Unapewa muda wa kisheria kuendeleza umiliki ukikaa kimya unapokonywa
Nandiaye Senior Member Joined May 17, 2022 Posts 125 Reaction score 178 Jul 18, 2022 #6 nguvu said: Haiwezekani. Click to expand... Lakini pia Wana uwezo wa kuchukua eneo lao kama wanalihitaji kwa kazi maalumu
nguvu said: Haiwezekani. Click to expand... Lakini pia Wana uwezo wa kuchukua eneo lao kama wanalihitaji kwa kazi maalumu