Nini kinawafanya kuridhika na kukubali rasilimali za taifa lao kutafunwa na kundi la watu wachache? Kwanini wanakuwa wapole huku wakikamuliwa?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Hili suala huwa linashangaza sana maana ni jambo ambalo linashanhaza sana.

Mikataba tata inasainiwa. Ufisadi unafanyika na mali za umma zinakwapuliwa lakini watu wanachukulia easy tu.

Wanaowaibia watanzania wanapata kiburi na dharu kuwa watanzania ni mabwege na watu wa kupigwa tu.

Epa, Kagoda , Meremeta. Obc ya Loliondogate na nyingine nyingi

Kwa nini watanzazia hawaamuki kama mataifa mengine?
 
Kuna like chizi liliwaaminisha wadanganyika kwamba linapambana na ufisadi...matokeo take kikatiba uchaguzi na kujaza kina babu Tale bungeni
Asante mungu
 
Bado Giza kuu limetanda kichwani ! Watu wengi sana hawajui kama Mali za Nchi ni zao wananchi !! Wao wanajua Mali zao ni zile wanazozimiliki wao kama nyumba, shamba, au gari na familia zao tu mengine hayawahusu !! Wanakwambia ukifuatilia hayo mengine unajitafutia matatizo tu katika mambo yasiyokuhusu !! Hata humu jf huwa tunaambiwa tafuteni pesa acheni maneno !! Hiyo ndio hali halisi !!
 

Acha unafiki, wakati dhalimu anatumia vibaya madaraka yake kuua nguvu ya kuhoji, na kupandikiza utamaduni wa kusifiwa, ulimuona ni bonge la mzalendo. Leo hii dhalimu hayupo huku akiwa ameua nguvu ya wananchi kuhoji, na ww ukiwa nje ya ulaji, ndio unaleta nongwa. Acha waliokuwa wanahoji hata enzi za dhalimu wahoji, ila sio ww muhuni.
 
Sikiliza we sukuma gang! Zile mbinu zenu mlizotumia Rwanda na Burundi hadi kutengeneza chuki hapa mmefeli Big time

Tunawajua wote mliokuwa mnataka kutengeneza empire yenu kipindi cha dhalimu wenu!

Tulieni tu kama wageni na kama mmeshindwa riding kwenu Rwanda na Burundi
 
Chuki zako kwa hayati JPM isiwe sababu za kutetea ufisadi.
 
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…