Alvin John
Member
- Mar 27, 2018
- 56
- 25
Mmeshindaje wakubwa! Samahanini kwa usumbufu ila naombeni msaada kwa wale wanaofahamu juu ya hili.. Ni kitu gani au chemical gani inayowekwa kwenye maziwa kama azam, daily fresh, lato nk au juice kama tropical, ceres, azam na kwenye vitu kama tomato, chill, jam na vingine ili vikae hata miezi sita bila kuharibika.. Tafadhali sana naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu nataka kufanya ujasiriamali wa kupaki maziwa, tomato na fresh juice ila sijui ni nini niweke ili visiharibike, asanteni.