Nini kinawekwa kwenye juice, tomato au maziwa ili visiharibike?

Alvin John

Member
Joined
Mar 27, 2018
Posts
56
Reaction score
25
Mmeshindaje wakubwa! Samahanini kwa usumbufu ila naombeni msaada kwa wale wanaofahamu juu ya hili.. Ni kitu gani au chemical gani inayowekwa kwenye maziwa kama azam, daily fresh, lato nk au juice kama tropical, ceres, azam na kwenye vitu kama tomato, chill, jam na vingine ili vikae hata miezi sita bila kuharibika.. Tafadhali sana naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu nataka kufanya ujasiriamali wa kupaki maziwa, tomato na fresh juice ila sijui ni nini niweke ili visiharibike, asanteni.
 
Preservation include

-Dehydration,
-UV-C radiation,
-Freeze-drying, and -Refrigeration.

Pitieni kwenye hii link, unaweza kutoka na chochote

Preservative...
 
Vp kuhusu unga unaoandaliwa ili ufanyiwe packed kuna kinachowekwa huko ili usiharibike au vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…