Nini kipo nyuma ya ajenda ya UVCCM kuwa na jogging clubs?

Ccm wanajua wanachofanya ni kibaya na hawataruhusu wengine wawe na hayo makundi ni wao tu wenye haki.
 
Counter attack: Chadema nao waige.
 
Nakuambia ccm ni chama Cha hila za kishetani chadema wakianzisha chochote ambacho kina sura ya kumobilize mass watazuiwa na polisi kwa sababu mbalimbali 1. Korona 2. Kibali 3. Vikundi vya kigaidi 4. Jeshi kinyume na Sheria
Juzi juzi mlikuwa na mobilization ya kidigitali nani aliwazuia?
 
Usiogope hata MWAKA 2013 waliwahi anzisha jogging club wakawa wanabeba watu na uda kwenda chanika kituo kilikuwa dar live mbagara.
Na hakuna kilichotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…