Nini kipo nyuma ya Channel Ten na matamko ya BAVICHA?

Kama Mandela alivyokuwa na kesi ya ugaidi. Hivyo ugaidi wa Mbowe tunajua ni kutokana na kuisumbua ccm, hivyo mama wa kambo ametumia mbinu za kizamani kumbambikia kesi.

Ni kweli nina roho mbaya, ila haikuti ya yule dhalimu aliyeko motoni hivi sasa.
Chacha Wangwe alitaka kugombea uenyekiti na mnajua kilichompata.

Endeleeni kujikaza kisabuni. Yowe la kwanza litapasua ngoma ya sikio
 
Ni vizuri kuwazoesha watoto kuwa wakweli wangali wadogo. Chaneli zinazotoa habari za uwongo kama channel 10 au TBC, ni vizuri kumwelewesha mtoto kwa upole kuwa hazifai kuzitizama kwa sababu habari zao nyingi ni za uwongo na propaganda.

Tukitaka kulijenga Taifa lenye maadili ni vema kuwazuia watoto kuangalia vitu ambavyo havina maadili ya ukweli.
 
Chacha Wangwe alitaka kugombea uenyekiti na mnajua kilichompata.

Endeleeni kujikaza kisabuni. Yowe la kwanza litapasua ngoma ya sikio

Kesi ya Chacha Wangwe iliiendeshwa kwenye mahakama za ccm, ungepeleka ushahidi. Na isitoshe sasa hivi mtoto wake ni mtu mzima na yuko cdm. Mfuateni mkampe huo ushahidi ili afungue kesi. Una lingine kwa msaada zaidi?
 
Ndipo tulipofikia hapo. Kuna msemo kwamba 'nyoka huuma afikiapo'.
 

Familia yangu nilishawapa maelezo na wamenielewa sana, hakuna anayetazama hizo channel maana nimewaambia habari zote humo ni za uongo.
 
Familia yangu nilishawapa maelezo na wamenielewa sana, hakuna anayetazama hizo channel maana nimewaambia habari zote humo ni za uongo.
Haaaa Mseveni damudamu na TBC.
Na M7 mwongo?
 
Chukua mkanda wa suruali mtandike huyo mtoto mpaka ukatike. Anataka kuleta laana ndani ya nyumba.
Mzee wangu(Rip) miaka ya huko kweusi alinipiga mno, kisa alikuta nimefungua RTD wakati ambao ni marufuku maduka kuuza bidhaa muhimu tendo lilopelekea yeye kufilisika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…