Tumekua watu wa kurudia na kurukia kila jambo siku za hivi karibu kumekua kampeni za kuipigia chapuo kampuni moja hisa ambayo gesi majumbani ikiwa ni kampeni ya kusisitiza wananchi wa Tanzania kutumia gesi which is good ila suala linakuja kwanini hiyo kampuni.
Kwanini bwawa la JNHPP lisiongelewe juu ya kuharakishwa kukamilika kwakwe ili MW zinazozalishwa ziingizwe kwenye grid ya taifa na kutoa unafuu wa punguzo la bei ya umeme 50tsh kwa Unit kwa Watanzania kwakua network ya umeme imesambaa kwa asilimia kubwa kwa wananchi wa kawaida na wale walio vijijini kwanini iwe hii gesi ikiwa aina network yeyote hadi sasa kwa Watanzania mbali na mitungi tu au mnataka kua na monopoly campany ambayo itajikita kwenye gas ikiwa na hisa zenu?
Niwakati wa kufanya jitihada za haraka bwawa likamilike ASAP