Nini kipo nyuma ya mafanikio ya Lady Jay dee

Yeye na Mumewe nawakubali sana....wanachapa kazi kwa kweli

the way mumewe anavyomu handle jide like a child yaani mpaka raha sijui kama kuna siku wanagombana. ila hiyo cople naipendaga sana nawaangaliaga kwenye diary najiona kama mimi ndio nafanyiwaga yale ma love yaani jide naye anajua kama anapendwa basi anadeka zaidi nawazimikiaga.
 
Msanii pekee asiyehongwa
Huyu msanii pale alipokuwa anafanyakazi clouds na hata alipotoka zilikuwa zinapigwa nyimbo zake kama vile hakuna nyimbo za wasanii wengine wa kike jee hiyo haikuwa rushwa ya aina yake?
 
Ni mmoja kati ya wasanii hapa nchini wenye mafanikio makubwa sana kimuziki na hata kiuchumi.
Ni kitu gani kipo nyuma ya mafanikio yake?
Msaada tafadhali.

Successful archived by hardwork & determination.
 
Huyu msanii pale alipokuwa anafanyakazi clouds na hata alipotoka zilikuwa zinapigwa nyimbo zake kama vile hakuna nyimbo za wasanii wengine wa kike jee hiyo haikuwa rushwa ya aina yake?
ok tufanye hoja hiyo umeshinda msanii pekee nyimbo zake zisiyepigwa clouds wala kushiriki fiesta na kununua range rover,hapo vipi???
 
yahaya alipomtongoza alimkatalia kwa sababu hajui anaishi wapi....(hapendi kuyumbishwa na midume)
Dah mie ngoja nipite nisije nikakugusa bure......................
 
Sijui kama uliandikaga Hapa ukiwa unamjua vizuri Jide au Ndo Sijui nini.Lkn nisiseme mengi baada ha Baadaye kuachana mengi umeyajua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jide alivumilia mengi kwa Gadner
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mandojo na Domo kaya ft jide - wanafiki wanafiki daah hii ngoma Kali Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…