Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kaka, haii hapa chini nimeikuta wikipediaMwanzoni hicho ndo kilikuwa kirefu chake, lakini wamiliki (wenye hisa) walikaa na kubadili katiba yao. Katika katiba mpya CRDB ni jina tu, lisilo na kirefu chochote kama majina mengine tu. Habari ndo hiyo. Vijijini tutafute bank zingine, maybe kupitia saccos.